21 Januari 2013 - 20:30

Katika miripuko mitatu ilotokea Iraq leo watu 16 na zaidi ya 40 kujeruhiwa vibaya.

Ripoti ya shirika la habri la Ahlul Bayt(as)-ABNA- siku ya leo Iraq kulitokea milipuko myengine katika sehemu tofauti nchini Iraq na kusababisha watu 16 kuaga dunia na zaidi ya 40 kujeruhiwa vibaya.

Bomu la kwanza liliripuka katika kutuo cha ukaguzi kusini mwa Baghdad, Na bomu la pili liliripuka katika soko la Taifa kaskazini mwa Baghdad, Na bomu la tatu kuripuka katika kambi ya jeshi ya Al-Taaji kaskazini mwa Baghdad.